*
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), ameungana na wanawake wa Wilaya ya Temeke katika Fagia Uwanja ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, utakaofanyika Oktoba 23, 2025 katika wilaya hiyo
*WANAWAKE WA TEMEKE WAPO TAYARI KUSIKILIZA KAMPENI!*
Comments