DKT. SAMIA AWAKARIBISHA VIONGOZI WA VYAMA RAFIKI WALIOKUJA KUSHUHUDIA UCHAGUZI MKUU

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Vyama Rafiki kutoka nchi mbalimbali mara baada ya kuhutubia wananchi katika uwanja wa TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2025.



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA