DKT. SAMIA AAPISHWA KUWA RAIS


Dkt. Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye Uwanja wa Gwaride la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), mkoani Dodoma leo Jumatatu Novemba 3,2025. Pia Dkt. Emmanuel Nchimbi ameapishwa kuwa Makamu wa Rais.



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

BALOZI MIGIRO AKUTANA NA JOPO LA WAANGALIZI WA UCHAGUZI MKUU WA UMOJA WA AFRIKA