BARABARA YA ITONI-LUSITU UJENZI WAKE UPEWE KIPAUMBELE - MWANYIKA

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka Serikali kukamilisha haraka ujenzi wa barabara ya mkakati ya Itoni- Lusitu pamoja na barabara ya Makambako, Njombe hadi Songea kwani zote zina umuhimu mkubwa kiuchumi. Aidha, ameitaka serikali kuheshimu sheria iliyotungwa na Bunge ya kuanzisha Mfuko wa Barabara na kusisitiza kwamba fedha za mfuko huo zitumike mahsusi kwa ujenzi wa barabara nchini na si vinginevyo. Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027 bungeni Dodoma Mei 20, 2026.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

TANZIA;.KWA KHERI DADA YETU MPENDWA EDITHA, TASNIA IMEPATA PIGO

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

NATAKA TANZANIA, KENYE NA UGANDA IWE NCHI MOJA, ILI BAHARI YA HINDI IWE YETU SOTE - MUEVENI

RAIS SAMIA AWASILI IRINGA KWENDA MEI MOSI NJOMBE