Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akizungumza jambo na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkapa ya Dodoma waliotembelea Bunge Mei 13, 2026.
Wanafunzi hao walipata wasaa wa kuhudhuria kipinzi cha maswali na majibu kwenye Ukumbi mkubwa wa Bunge na baadaye kwenda ukumbi wa Pius Msekwa ambapo walielezwa historia ya Bunge, kazi za wabunge, umuhimu wa Siwa pamoja mwenendo mzima wa Bunge hilo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
Comments