LEO BUNGENI DODOMA
(Wizara ya Ujenzi)
Prof Sospeter Muhongo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, ametoa ushauri kuhusu vyanzo vya fedha za ujenzi wa barabara nchini mwetu.
Mbunge huyo ameongelea ujenzi wa barabara kuu la Jimboni mwao ambalo ni lile la Musoma-Makojo-Busekera (km 92). Barabara hilo liko kwenye Bajeti ya Mwaka 2026/27, na tender tayari imetangazwa.
Tafadhali sikiliza mchango wa Prof Muhongo kutoka kwenye Clip/Video iliyoambatanishwa hapa.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Date: Thu, 21 May 2026
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...

Comments