MWANDABILA AITAKA SERIKALI IWALIPE WAKANDARASI ILI WAKAMILISHE UJENZI WA BARABARA SONGWE

 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Neema Mwandabila ameendelea kuihoji serikali kuhusu ukamilishaji wa ujenzi wa barabara mkoani humo

Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Juni 8, 2026 na kujibiwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA