Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiwa katika Picha ya pamoja na badhi ya wahitimu wa Chuo cha Serikali za Mitaa cha Hombolo  baada ya kuwatunuku vyeti na Stashahada  katika mahafali ya chuo hicho Novemba 15, 2010. Waliokaa kutoka kushoto ni  Kaimu Mkuu wa Chuo hicho, Dr. Robert Kisusu, Mwenyekiti wa Baraza la Wadhmimi wa Chuo, Ramadhani Khalfan, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, George Mkuchika na  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. James Msekela. (Picha na OFisi ya Waziri MKuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

DKT. TULIA ATAJA MAFANIKIO YAKE AKIWA RAIS WA IPU