Abiria waliokuwa wamepanda Mv Magogoni Dar es Salaam jana, wakishuka katika pantoni hilo lililopata hitilafu na kuamua bila ruhusa kuingia kwenye pantoni lingine la Mv Kigamboni. Lakini baada ya nusu ya abiria kuahamia Mv Kigamboni dereva wa Mv Magogoni aliamua kuondoa pantoni bila kutoa taarifa yoyote kama ilivyo kawaida. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN
Shirikisho Soka barani Afrika CAF limetoa taarifa kuwa taifa la Kenya π°πͺ limeshindwa kukidhi vigezo vya kuwa mmoja wa mataifa yatakayoandaa mashindano ya CHAN mwakani 2025 mara baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya kuwa mwenyeji wa mashindano hayo. Viwanja vyote vilivyopo Kenya havina ubora wa kutumika katika michezo ya FIFA Wala CAF Kwa mujibu wa wakaguzi wa CAF na hata uwanja wa Kasarani unaojengwa pia imeonekana kuwa hautakamilika Kwa wakati. Nafasi hiyo wamepatiwa Rwanda π·πΌ mara baada ya kuonekana wao wamekidhi vigezo vya kuwa wenyeji wa CHAN. CHAN2025 itachezwa katika mataifa matatu ambayo ni Rwanda π·πΌ, Tanzania πΉπΏ pamoja na Uganda πΊπ¬. Uwanja wa Karasani unaoendelea kujengwa.
Comments