MWANAMUZIKI ALI KIBA ATEMBELEA CHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO DAR ES SALAAM LEO

 Ali Kiba akiwa amepozi katika chumba cha habari cha gazeti la Jambo Leo.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni  ya Jambo Concepts (T), Limited, Juma Pinto (kushoto),m akipokea CD yenye nyimbo mbili za Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ali Kiba wakati alipotembelea ofisi za gazeti hili Dar es Salaam leo kutambulisha nyimbo hizo pamoja na kuelezea mikakati yake ya baadaye kimuziki.
 Ali Kiba alimkabidhi CD Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts (T), Limited, Benny Kisaka.
  Ali Kiba alimkabidhi CD, Mmiliki wa Blog ya Wananchi, William Malecela.
 Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Jambo Leo, Nyendo Mohamed (kulia), akimtambulisha Ali Kiba kwa waandishi wwenzake.
 Mpiga picha Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Richard Mwaikenda (kulia), akimueleza jambo Ali Kiba.
 Ali Kiba akisalimiana na Mhariri wa Makala wa Gazeti la Jambo Leo, Robert Hokororo.
 Ali Kiba akisalimiana na Mwandishi Mwandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, Neema Mgonja.
 Ali Kiba akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa.
Ali Kiba akisalimiana na Msanifu kurasa Msaidizi wa Gazeti la Jambo Leo, Hamza Mussa.Imeandaliwa na www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

BREAKING: CAF YAIPOKONYA KENYA KUANDAA CHAN

BREAKING NEWSSSS. WABUNGE WAPATA AJALI

MONGELLA AWATEMBELEA HOSPITALI WALIOMWAGIWA TINDIKALI

π—₯π—”π—§π—œπ—•π—” 𝗬𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—” 𝗬𝗔 π—žπ—¨π—™π—¨π—‘π—šπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—žπ—” 2024 πŸ”°

GERSON MSIGWA AREJESHWA KUWA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI

AUCHO, BACCA, BOKA WAJUMUISHWA KWENDA ALGERIA LEO

AHMED ALLY KULIPA BIL. 10 KWA KUIKASHIFU YANGA