NAPE AKUTANA NA BALOZI UINGEREZA

1Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akizungumza na  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London ambapo walizungumza masuala mbali mbali yakiwemo ya Uchumi,Siasa pamoja na Diaspora.
2Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akipiga picha na  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mjini London baada ya kumaliza mazungumzo3

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

BALOZI NCHIMBI AONGOZA MAPOKEZI YA KATIBU MKUU, MGOMBEA URAIS WA FRELIMO

WAZIRI WA FEDHA AWASILISHA BAJETI YA 2024/2025

DKT NCHIMBI AUNGURUMA KILIMANJARO

PROF NDAKIDEMI AITAKA SERIKALI KUPELEKA VIFAA TIBA URU KUSINI

WANANCHI KIBOSHO WAIOMBA SERIKALI KUWAJENGEA VIVUKO VYA KUDUMU

VIONGOZI WA DINI, ASASI WAJITOKEZA KUTOA MAONI UBORESHAJI KANUNI ZA UCHAGUZI

BALOZI NCHIMBI ATINGA BUNGENI KUSIKILIZA UWASILISHWAJI WA BAJETI