MCHAKATO WA KUREJESHWA VINYONGA WETU KUTOKA NJE WAIVA+video



Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja ameelezea mchakato wa mawasiliano na nchi ambako vinyonga vilipelekwa isivyo halali ili warejeshwe nchini. Naibu Waziri Masanja amebainisha hilo, alipokuwa akiuzungumza katika mkutano na wandishi wa habari jijini Dodoma Novemba 30, 2021, kuelezea sekta ya maliasili na utalii ilikotoka, ilipo na inakoelekea pamoja na changamoto na mafanikio kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa (kushoto), akiwa pamoja na maafisa wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakati wa mkutano huo.
Wanahabari wakisikiliza wakati Naibu Waziri wa Maliasili na nUtalii, Masanja akizungumza.




Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa, akihitimisha mkutano huo aliouongoza.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa  akipongezana na Naibu Waziri wa  Maliasili na Utalii, Marz Masanja baada ya mkutano kumalizika.

  Naibu Waziri wa  Maliasili na Utalii, Mary Masanja  akiondoka huku akisindikizwa na Zamaradi Kawawa baada ya mkutano kumalizika.


PICHA ZOZE RICHARD MWAIKENDA 

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza  kupitia clip hii ya video, Naibu Waziri  Masanja akielezea mchakato wa vinyonga kurejeshwa nchini...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI