SHANGWE, VIGELEGELE VYATAWALA MAHAFALI YA 3 YA WAUGUZI, WAKUNGA 1220+video

 

Wauguzi na Wakunga 1220 wakila kiapo huku wakiwa wamewasha mishumaa ikiwa ni ishara ya kuwa na moyo wa upendo wanapotoa huduma kwa wagonjwa na wananchi kwa ujumla katika mahafali yaliyofanyika leo Desemba 8, 2021  jijini Dodoma.
Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi.  Agnes Mtawa akiwasha mshumaa tayari  kutumika kuwawashia  wahitimu.

Watumishi wa Baraza la Uuguzi na Ukunga wakipiga makofi kwa furaha wakati wa mahafali.
Msajili wa Baraza, Bi. Mtawa akiwawashia mishumaa wahitimu.

Wahitimu wakiwashiana mishumaa.
Wahitimu wakiwa na mishumaa tayari kula kiapo.

                      
 Viongozi meza kuu wakiongoza kula kiapo
Mwenyekiti wa Baraza la Uuguzi na Ukunga, Profesa Lillian Mselle akihutubia  wakati wa mahafali hayo.
Mwenyekiti wa Baraza la Uuguzi na Ukunga, Profesa Lillian Mselle  akiwakabidhi vyeti na leseni wahitimu.

Viongozi meza kuu wakiwa na baadhi ya wahitimu wa uuguzi na ukunga waliofanya vizuri katika mitihani na kukabidhiwa vyeti na leseni.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja na  viongozi.
Watumishi wa Baraza wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi.

 PICHA YOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwenyekiti Profesa Mselle akihutubia, Msajili Bi. Mtawa akitoa shukrani na wahitimu wakielezea furaha yao baada ya kukabidhiwa vyeti na leseni .....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

REKODI YA SIMBA NA YANGA TANGU MWAKA 2010

NEWS ALERT: TAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014 HAPA!

CHONGOLO AKEMEA UBADHILIFU NDANI YA JUMUIYA ZA CHAMA+video

JIONEE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2015

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

MASHINDANO YA MICHEZO, BURUDANI YAAHIRISHWA MUSOMA VIJIJINI SABABU ZA UVIKO 19