KISWAGA AWATAKA WATANZANIA KUIFURAHIA BAJETI NI NZURI KWAO+video

  Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Iringa, Jackson Kiswaga amesema kuwa Bajeti ya mwaka huu ni nzuri ni mkombozi kwa wakulima.

Aidha amefurahishwa na mapinduzi makubwa kwenye miundombini ambapo barabara nyingi zitajengwa katika jimbo hilo.

Amemshukuru Rais Samia kwa kulipatia jimbo hilo fedha nyingi katika miradi mbalimbali ya maendeleona kuwataka watanzania kuifurahia bajeti hiyo.
Ameyasema leo kwenye viwanja vya bun ge jijini Dodoma mara baada ya mkutano wa Bajeti Kuu ya serikali kumalizika.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kiswaga akielezea uzuri wa bajeti hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI