SHUHUDIA SHINDANO KAMAMBE LA KULA UBWABWA MAHARAGE BUNGE BONANZA +video

 Wabunge na Watumishi wa Bunge wakishindana kula ubwabwa maharage wakati wa Bunge Bonanza 2023 huku wakishuhudiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Shule ya John Merlin, Miyuji jijini Dodoma Januari 28, 2023.Mdhamini Mkuu wa bonanza hilo ni Benki ya NMB.


Wabunge wanaume wakipambania ushindi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) pamoja na viongozi wengine wakishuhudia mashindano ya kula ubwabwa.
Watumishi wa Bunge wanaume wakipambania ushindi.






Wakishangilia baada ya baadhi kushinda kwa kuwa wa kwanza kumaliza kula ubwabwa maharage.


Wabunge wanawake wakiwa kwenye shindano



Watumishi wa Bunge wanawake wakiwa makini kula haraka ili washinde.







 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/ona  kupitia clip hii ya video, mpambano huo wa kula msosi...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

JINSI BINTI HUYU MWANAFUNZI ANAVYOIPENDA MITI

TAKUKURU YAPONGEZWA KUWA BEGA KWA BEGA NA MBIO ZA SEPESHA ZINAZOPINGA RUSHWA YA NGONO

NDOGO WA MUME WANGU ALIKUWA EX WANGU