NAIBU WAZIRI MWANA FA AKIWASHA MKUTANO WA CHONGOLO TANGA

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mbunge wa Jimbo la Muheza,Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA akitumbuiza wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM,  Komredi Daniel Chongolo wa kutoa elimu sahihi kuhusu uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam mjini Korogwe Tanga Julai 19,2023.








 Mwana FA akipongezwa na Katibu Mkuu baada ya kutoa burudani ya aina yake kwenye mkutano huo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

DKT. TULIA ATAJA MAFANIKIO YAKE AKIWA RAIS WA IPU