CHATANDA, SHOMARI WAKAGUA MIRADI YA VITEGAUCHUMI VYA UWT ZANZIBAR


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg Mary Chatanda (MCC) akiwa na Makamu Mwenyekiti wake Ndg Zainab Shomari (MNEC) Januari 19, 2024 wakiwa na wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UWT Taifa wakikagua miradi ya vitega uchumi vya UWT Afisi Kuu Zanzibar ambayo ujenzi wake unaendelea. 






 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.