ALAT MKOA WA MARA WASHUHUDIA USHIRIKIANO MZURI KATI YA WANANCHI NA SERIKALI YETU KWENYE UJENZI WA KIGERA SEKONDARI

 


 

Jumatano, 17.4.2024, Viongozi wa ALAT Mkoa wa Mara walitembelea Kigera Sekondari iliyojengwa Kijijini  Kigera (Etuma), Kata ya Nyakatende.


Sekondari hii ambayo ni ya pili ya Kata ya Nyakatende, ilianza kujengwa Mwaka 2020 kwa nguvu za Wananchi wa Vijiji viwili vya Kigera (Etuma) na Kakisheri, na Mbunge wao wa Jimbo la Musoma Vijijini.


Baadae, Serikali ilichangia na inaendelea kuchangia ustawi wa shule hii. Miumbombinu ya Elimu ya Sekondari hii imejengwa kwa ubora mkubwa - ALAT imedhibitisha ubora huu!


Tafadhali sikiliza CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa - Wananchi wanashukuru sana juhudi za Serikali yetu.


Ofisi ya Mbunge 

Jimbo la Musoma Vijijini 

www.musomavijijini.or.tz 


P. O. Box 6

Musoma 


Tarehe:

Alhamisi, 18.4.2024

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE