NI ARAGIGA TENA KIPUTE YANGA VS SIMBA


 Bodi ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, imetangaza orodha ya waamuzi na maofisa watakaosimamia mechi ya Jumamosi Kariakoo Derby baina ya Yanga Sc dhidi ya Simba Sc mchezo utakaopigwa Jumamosi hii Aprili 20,2024


Bodi ya Ligi kuu imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka Manyara kuwa mwamuzi wa kati(Referee) akisaidiwa na mwamuzi wa pembeni namba moja Mohamed Mkono kutoka Tanga, mwamuzi namba mbili Kassimu Mpanga kutoka Dar Es Salaam na 4th Official ni Tatu Ma logo kutoka Tanga


Itakumbukwa kuwa Ahmed Arajiga, alichezesha mchezo wa Derby iliyopigwa Novemba 5, 2023 ambapo Simba Sc alipoteza kwa magoli 1-5


#KishambaUPDATES

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE