Wabunge wakinyanyua kombe la ubingwa wa mpira wa pete walioutwaa katika Bunge Bonanza la lililofadhiliwa na Benki ya CRDB kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Juni 22, 2024.
a
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Hemed Suleiman Abdalla akikabidhi tuzo kwa washindi wa kwanza wa michezo mbalimbali katika bonanza hilo.Baadhi ya michezo iliyoshindaniwa ni soka, pete, bao, mpira wa meza, draft, kuvuta kamba, kukimbiza kuku, kunywa soda na kula wali.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203
Comments