MKE AMLETEA MUMEWE WAREMBO WAWILI WA KUSEX NAO AKIWA BIZE


Mke wa Mwanamuziki maarufu duniani Neyo awaleta Wanawake Wawili warembo ambao Kazi Yao itakuwa ni kujamiana na mume wake kipindi ambapo atakua ameenda kujifungua au katika kipindi chote ambacho yeye itakua shughuli nzito kukutana na mumewe.


mke huyo anasema hakutaka mume wake aanze kuhangaika na Wanawake wa nje ameamua amletee mwenyewe ili arahisishe mambo.


" Nilimletea Wanawake Wawili ambao ni Sexy sana warembo kweli kweli kipindi hiki Cha ujauzito mpaka siku ntajifungua. Wanawake hao walikuwa wanakuja wakati mume wangu akihitaji tendo kutoka kwangu . 


Lakini nilipojifungua na kupumzika vya kutosha Wanawake hao waliondoka na nilifanya hivo kwa sababu sikutaka mume wangu afuate nje Bora nimletee ale mwanamke ambae nimemchunguza ili asilete virusi ndani ya nyumba yangu 😁" alisema mke wa Neyo 


Vp wadau hii kwenu imekaaaje ,😂

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

KANUNI 10 ZA MAHUSIANO YENYE FURAHA

HAKI 13 ZA MWANAMKE LAZIMA MWANAUME AZIHESHIMU:

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

TAKUKURU YAPONGEZWA KUWA BEGA KWA BEGA NA MBIO ZA SEPESHA ZINAZOPINGA RUSHWA YA NGONO