MALI WANAIFUATILIA SANA YANGA- DIARRA


"Kwanza kabisa nizungumzie wachezaji wenzangu wa timu ya Taifa. Wengi wanaifahamu Yanga. Kuanzia wachezaji, wakufunzi mpaka mashabiki wanaifahamu na wanaipenda sana timu hii kwakuwa wanajua nacheza hapa.


"Yaani tangu nimejiunga Yanga wamekuwa wakiifatilia sana na hata nikirudi kucheza timu ya Taifa basi wachezaji wenzangu huniuliza kuhusu Yanga na kuniomba Jezi" Maneno ya Golikipa wa Young Africans, Djigui Diarra.


🟩🟨⬛️THIS IS YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB 🔥🔥🔥

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

USHAURI WA BURE KWA KILA MFANYAKAZI

JINSI BINTI HUYU MWANAFUNZI ANAVYOIPENDA MITI

TAKUKURU YAPONGEZWA KUWA BEGA KWA BEGA NA MBIO ZA SEPESHA ZINAZOPINGA RUSHWA YA NGONO

NDOGO WA MUME WANGU ALIKUWA EX WANGU