Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Kitanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Pyramids FC ya Misri na AS FAR ya nchini Morocco.
Mchezo huo utachezwa Cairo, nchini Misri Aprili 01, mwaka huu.
Comments