Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM CPA Amos Makalla akiwa na Wajumbe wa NEC CCM wamehudhuria mafunzo katika Chuo Cha China Executive Leadership Academy (CELAP), Pudong kilichopo Shanghai nchini China.
CPA Makala na Ujumbe wake wamepata wasaha wa kuzungumza na Makamu wa Rais wa Chuo hicho Prof. Yin Hong na baadaye kushiriki naye chakula cha jioni.
Comments