ASILIMIA kubwa ya wanawake wembamba wakiwa kwenye HASIRA ni wababe balaa😀
Wanawake wembamba wengi ni O na lishawahi kusema kuhusu watu hawa kuwa ni wababe😀
MISIMAMO NA MASHARTI, wanawake wengi wembamba wana misimamo sana na masharti anakupenda ila anakuwa na masharti sana😀 halafu wako selective sana wana vigezo vingi
MABADILIKO, wanawake wembamba walio wengi wanapenda mwanaume wambadilishe kuliko wao kubadilika hutamani kusikilizwa sana wanavyotaka wao huwa wanaamini wao wanajua, wana uelewa wa mambo mengi😀
MAPENZI, wanawake wembamba walio wengi wakipenda wanapenda sana sema tu wivu😀 yaani wao, kutishia kuachana ni jambo la kawaida kitu ambacho huwapelekea wanaume wengi kuwaacha kweli wanapowatishia kuacha
TENDO LA NDOA, wanawake wembamba walio wengi wanapenda sana tendo la ndoa lile la hekaheka wengi ni blood group O ndio tabia zao wanapenda sana tendo lile la hekaheka😀
DEKO, wanawake wembamba walio wengi wanapenda sana kudekezwa ili wajiamini, utambulishe kwa watu ajichie kwa mchetuo😀
WANAUME WAWAPENDAO wanawake wengi wembamba wanapenda wanaume wenye miili yaani waliojaa, warefu (mabonge) wanaoitwa big yaani hao ndio wanaume wa udhaifu wao.
Comments