Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Dira ya Taifa ya
Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete
(JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.
Rais Samia akimkabidhi Dira Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Rais Samia akiwa na viongozi mbalimbali wakiwa na nakala za Dira mpya ya Taifa ya 2050.
Rais Samia akiwa na tuzo ya shukrani na pongezi aliyokabidhiwa na Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji kwa kazi nzuri ya kufanikisha dira hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitilla Mkumbo akimkabidhi Rais tuzo hiyo.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa sherehe hiyo ambapo alisema ameridhika na Dira hiyo.
Mwakilishi wa Sekta Binasi, Rostam Azizi akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Rais Samia akikabidhi Dira kwa mmoja wa watu wenye ulemavu.
Rais Samia akihutubia katika uzinduzi huo na kuahidi kuwa wataitekeleza Dira hiyo kwa umakini mkubwa.
Baadhi ya viongozi na wageni waalikwa wakiwa katika sherehe hizo.
Viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, CPA. David Carol Nchimbi,(Kulia) wakifuatilia kwa makini uzinduzi huo.
.jpeg)
.jpeg)
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akihutubia.
Baadhi ya viongozi wa CCM wakishiriki uzinduzi huo.
Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na alikuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyehudhuria uzinduzi huo wa Dira ya Taifa 2050.
Comments