KOCHA - FADLUHMAN DAVIES
#GOALKEEPERS
1.1. Moussa Camara🇬🇳
1.2. Ali Salum🇹🇿
1.3. Yakubu Suleiman🇹🇿
#DEFENDERS
2.1. David Kameta🇹🇿
2.2. Shomari Kapombe🇹🇿
3.1. Khadim Diaw🇲🇷
4.1 Wilson Nangu🇹🇿
4.1. Rushine De Reuck🇿🇦
5.1. Abdulrazack Hamza🇹🇿
5.2. Chamou Karaboue🇨🇮
✅Khadim Diaw aongezewe Mwingine maana huwezi kumtegemea mmoja kwenye eneo la ulinzi, Maana Timu ikifeli kwenye ulinzi wapinzan wanapitia hapo hapo
#MILDFIELDERS
6.1. Alassane Kante🇸🇳
6.2. Yusuph Kagoma🇹🇿
8.1. Morice Abraham🇹🇿
10.1. Awesu Awesu🇹🇿
10.2. Jean C. Ahoua🇨🇮
10.3. Mohamed Bajabeer🇰🇪
✅Atafutwe Kiungo wa Kati atakayechezesha timu na kuifanya ichangamke sana, pasingekuwa umri Aucho alikuwa anafaa pale msimbazi.
#FORWARDS
7.1. Joshua Mutale🇿🇲
7.2. Kibu P. Denis🇹🇿
11.1. Ladack Chasambi🇹🇿
11.1. Ellie Mpanzu🇨🇩
9.1. Lionel Ateba🇨🇲
9.2. Steven Mukwala🇺🇬
✅Lionel Ateba Auzwe au atolewe kwa mkopo ili aletwe Mshambuliaji mwingine mzuri zaidi yake
✅Atafutwe Winga wa Kushoto na Kulia wa Kimataifa
JUMLA: Wachezaji wazawa = 10 kibu D akipungua wanabaki 09
Wachezaji wakigeni = 11, akipungua Ateba wanabaki 10, hao wawili wa kukamilisha Idadi wamsajili Mshambuliaji Halisi namba 9 na Kiungo wa kati wa kuichezesha Timu. Wakifanya hivyo Simba haitakamatika msimu ujao.
WACHEZAJI WALIOONDOKA BAADA YA MSIMU KUTAMATIKA
1. Aishi Manula - Golikipa
2. Hussein Abel - Golikipa
3. Mohamed Hussein - Beki
4. Che Malone - Beki
5.Valentine Nouma - Beki
6. Valentino Mashaka - Mshambuliaji
7. Mzamiru Yassin - Kiungo
8. Fabrice Ngoma - Kiungo
9. Augstine Okejepa - Kiungo
10. Hussein Kazi - Beki
11. Edwin Balua(Mkopo) - Winga
12. Kevin Kijili - Beki
13. Saleh Karabaka - Kiungo Mshambuliaji
14. Debora Mavambo - Kiungo mkabaji.
✅JUMLA YA WAZAWA🇹🇿 - 09.
✅JUMLA YA WAGENI 🏳️🌈 - 05.
KUMBUKA USAJILI WA SIMBA TAYARI UMEMAMILIKA KWA ASILIMIA 100% KILICHOSUBIRIWA NI UTAMBULISHO TU WA WACHEZAJI THEN WAENDE KWENYE PRE - SEASON KWAAJILI YA MAANDALIZI YA KIMKAKATI KULETA MAKOMBE MSIMBAZI.
#simbanguvumoja
#UbayaUbwela #tunaendeleakujengatimu
Cc From #Mteteziwawanyonge
#usajilinipesasiovikao
Comments