DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

Karibu Mkuu wa CCM, Dkt. Asha Rose Migiro akiungana na vijana wa CCM katika amsha amsha katika mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan mjini Makambo Njombe  asubuhi hii ya Septemba 6, 2025.

 BAADA ya kumaliza Kampeni katika Mikoa wa Njombe,leo anaingia mkoani Iringa.






 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

LEO NI LEO KAMPENI ZA DKT. SAMIA SONGWE

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-