MBOWE APIGA PICHA NA RAIS SAMIA ALIPOHUDHURIA UZINDUZI WA DIRA YA TAIFA 2050

. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Mhe. Freeman Mbowe mara baada ya kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 17 Julai, 2025.

Mbowe akipiga picha na Rais Samia.


Mbowe akihudhuria sherehe hzizo za uzinduzi wa Dira.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI