PICHA YA YANGA 1993 WALIPOTWAA UBINGWA WA AFRIKA MASHARIKI

Picha hi ni ya miaka 30 iliyopita wakati young Africans walipochukua ubingwa wa africa mashariki na kati mwaka 1993 huko uganda pichani wapo kina zamoyoni mogella,issa athumani,edibily lunyamila,method mogella,keneth mkapa,hamisi gaga,abubakar salum,steven nemes,rifat saidi,saidi mwamba,mohamed Hussein,willy mtendawema,mwanamtwa kiwelu,Charles Boniface,Abbas ghulamali,Ramesh patwa,vinod asar.wengine siwa kumbuki kama mnawatambua wengine andikeni kwenye comments ili picha ikamilike.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

DIARRA KIPA BORA TANZANIA