Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anamlingi Macha akizungumza na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 18, 2025, kuhusu mafanikio ya mkoa huo katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Mkurugenzi Msaidizi wa Dijitali wa Idara ya Habari MAELEZO, Kelvin Kanje akitoa neno la kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Macha kuzungumza na vyombo vya habari.
Kanje akiwa na baadhi ya maafisa wa alioambatana nao Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Macha.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments