Cheche za Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) alipokuwa akizundua Kampeni za CCM katika Jimbo la Mkuranga Mkoani Pwani, Kampeni zilizofanyika katika Uwanja wa Kipala Mwandege leo tarehe 06 Septemba, 2025.
Mwenyekiti Chatanda amewataka wananchi wa Wilaya ya Mkuranga na watanzania kwa ujumla kupuuza wapotoshaji wanaobeza maendeleo yanayofanywa na Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa hawana hoja za msingi
*Oktoba tunatiki, tunatiki, tunatiki, tunatiki t
Comments