Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), kesho Tarehe 06 Septemba, 2025, atashiriki na kuwa Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni ndani ya Jimbo la Mkuranga Mkoani Pwani Uzinduzi utakaofanyika katika Viwanja vya Kipala Mwandege, Wananchi wote mnakaribishwa.
*Oktoba tunatiki, tunatiki, tunatiki, tunatiki tenaaaaa ✅✅✅*
#OktobaTunatiki
#WanawakeJeshiDktSamianaDkMwinyi
#KazinaUtuTunasongambele
#UWTupdatesUchaguzi
Comments