Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan zinaendeshwa kisayansi kwa njia ya anga na Nchi Kavu kama inavyoonekana helkopita ikiwa na bango la mgombea huyo ikipita katika mkutano wa kampeni za mgombea huyo katika Mji wa Mbalizi mkoani Mbeya Septemba 4, 2024.
Pia Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tganzania Bara, Stephrnr Wasira wameonekana wakitumia helkopta.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 0754264203
Comments