TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 IKISOMWA NA MAKAMU WA RAIS KLABU YA YANGA @arafat__ah
MAPATO (Kiasi TZS)
• Udhamini na Haki za Matangazo: 10,391,335,340
• Mapato ya Mlangoni: 1,667,548,655
• Ada za Uanachama: 1,119,309,815
• Zawadi za Ushindi: 3,089,967,800
• Mapato Mengine: 9,428,957,700
Jumla ya Mapato: 25,697,119,110
MATUMIZI (Kiasi TZS)
• Mishahara na Marupurupu Mengine: 8,046,583,496
• Gharama za Usajili na Uhamisho wa Wachezaji: 5,138,824,722
• Gharama za Usafirishaji wa Nchi, Usafiri, Chakula na Malazi: 8,710,460,500
• Posho kwa Wachezaji na Benchi la Ufundi: 1,607,476,044
• Michango ya Kisheria: 1,600,970,218
• Gharama za Utawala: 533,146,560
• Gharama za Kamati: 412,145,540
• Gharama za Kusifu: 239,140,000
• Gharama za Kiducho: 1,253,527,832
Jumla ya Matumizi: 25,389,959,912
BAKAA: 307,149,198
Comments