๐๐๐ง..๐ฆ๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ก๐ฌ๐ ๐๐๐ญ๐ ๐ฌ๐๐ก๐ฌ๐ ๐๐จ๐๐ก๐จ๐ ๐จ๐๐๐จ๐ ๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐๐ก๐๐๐๐๐ข ๐ฌ๐ ๐ช๐๐ง๐จ - ๐๐๐ง. ๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐จ
Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mratibu wa Kampeni kwa mikoa ya Kanda ya Kati Ndugu. Balozi Dkt. Bashiru Ally, amesema Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป ni Rais aliyefanya kazi kubwa ya katika demokrasia ya kuinua uchumi wa Tanzania na kuleta maendeleo endelevu kwa kila Mtanzania.
Dkt. Bashiru ameyasema hayo wakati akizungumza na maelfu ya wananchi wa Mwanza na maeneo ya karibu katika ufungaji wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kupitia CCM , leo tarehe 28 Oktoba 2025.
Pamoja na hayo, Balozi Dkt. Bashiru amegusia Tuzo mbalimbali alizopewa Mgombea Urais Dkt. Samia kutokana na kutambulika na kuthaminika kwa kazi kubwa anayoifanya katika kuliongoza vema Taifa la Tanzania kwa misingi ya falsafa yake ya Uongozi ya 4R.

Comments