MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakiingia katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Unguja, Zanzibar Oktoba 24,2025.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt Samia Suluhu Hassan anafunga kampeni zake leo kwa upande wa Zanzibar. Kwa upande wa Tanzania Bara atafungia Jijini Mwanza.
Kassim Majaliwa.Dkt Hussein Ali Mwinyi.





Comments