Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Ndugu Mary Pius Chatanda (MCC), amemhakikishia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa wanawake nchini wako tayari kumpa kura za kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Chatanda ameyasema hayo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Buza Tanesco Jijini Dar es Salaam, Oktoba 23, 2025.

Comments