MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dkt Samia Suluhu Hassanna viongozi wengine wakiingia Uwanja wa CCM Kirumba katika mkutano wa kufunga Kampeni za CCM leo Oktoba 28, 2025 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, DKT. Doto Biteko
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Steven Wasira na mkewe.
Mgombea Mwenza, Dkt. Emmanuel Nchimbi.





Comments