Tajiri namba Moja Duniani, Elon Musk amewashangaza mashabiki wake kwa kauli yake ya kushtua kuhusu ndoa,
Elon musk amesema,
Siwezi kufanya kosa la kuoa. Nikiamua kumuoa mwanamke yeyote sasa hivi, ataniacha tu ili apate nusu ya mali yangu.
Katika maelezo yake ya wazi kabisa, Elon alisema kuwa mapenzi ni hadithi ya kufikirika na kwamba uhusiano wa kisasa unategemea zaidi maslahi ya kifedha kuliko upendo wa kweli. Aliongeza kuwa talaka siku hizi imekuwa kama “mbinu ya biashara” kwa wanawake wengi.
Kwa mujibu wa Musk, endapo angeoa kisha akaachika, angeweza kupoteza zaidi ya dola bilioni 250, nusu ya utajiri wake. Badala yake, amesema ameamua kuchagua amani, kazi, na uhuru kuliko mapenzi.
FUNZO: Katika dunia ambapo mapenzi yanaweza kubadilika kuwa kesi ya mahakamani, wakati mwingine utulivu wa moyo ni bora kuliko kuwa na mwenza.

Comments