Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja Zanzibar leo Oktoba 24, 2025.
Dkt. Samia anafunga kampeni zake kwa upande Zanzibar na kwa upande wa Tanzania Bara atafunga jijini Mwanza. Mwisho wa kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 itakuwa Jumanne Oktoba 28 ambapo Uchaguzi Mkuu itakuwa Jumatano Oktoba 29.



Comments