Vijana wa hamasa kutoka Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, wakionesha furaha yao katika mkutano wa kuhitimisha Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Oktoba 28, 2025.
Vijana hao wameahidi kesho kutiki kwa Dkt. Samia, wabunge na madiwani.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA -0754264203
Comments