YANGA WAPIGA GOLI MBILI


 Wananchi wapo mbele 2-1 kwa matokeo ya jumla (aggregate) wakielekea mapumzikoni vifua mbele dhidi ya Silver Strikers Fc ya Malawi katika dimba la Benjamin Mkapa.


HT: Yanga Sc 🇹🇿 2-0 🇲🇼 Silver Strikers Fc

⚽ 06’ Job 

⚽ 33’ Pacome

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

RAIS SAMIA AMZAWADIA NYUMBA SIMBU