๐๐๐ซ๐๐ณ๐ ๐ฅ๐ ๐๐๐ฐ๐๐ณ๐ข๐ซ๐ข ๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข๐ฅ๐จ๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ณ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐๐ก. ๐๐๐ข๐ฌ ๐๐๐ฆ๐ข๐ ๐๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ฎ ๐๐๐ฌ๐ฌ๐๐ง
Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
๐ Waziri - Mh. Ridhiwani Jakaya Kikwete
๐ฉ๐ผ Naibu - Regina Ndege Kwarai
Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
๐ Waziri - Prof. Kitila Mkumbo
๐ฉ๐ผ Naibu - Pius Steven Chaya
Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana
๐ Waziri - Joel Nanauka
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
๐ Waziri - Mh. Mhandisi Hamadi Masauni
๐ฉ๐ผ Naibu - Dkt. Festo Dugange
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
๐ Waziri - Mh. William Lukuvu
๐ฉ๐ผ Naibu - Ummy Nderiananga
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano
๐ Waziri - Mh. Deus Sangu
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Rahma Riadh Kisuo
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
๐ Waziri - Mh. Prof. Riziki Sailas Shemdoe
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Reuben Nhamanilo (Elimu)
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Dr. Jaffar Rajab Seif (Afya)
Wizara ya Fedha
๐ Waziri - Mh. Balozi Khamis Musa Omar
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Laurent Deogratius Luswetula
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Mshamu Ally Munde
Wizara ya Mambo ya Nje
๐ Waziri - Mahmood Thabit Kombo
๐ฉ๐ผ Naibu - Dkt. Ngwaru Jumanne Magembe
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. James Kinyasi Millya
Wizara ya Mambo ya Ndani
๐ Waziri - Boniface Simbachawene
๐ฉ๐ผ Naibu - Denis Lazaro Londo
Wizara ya Kilimo
๐ Waziri - Daniel Chongolo
๐ฉ๐ผ Naibu Waziri - Mh. David Silinde
Wizara ya Maji
๐ Waziri - Mh Juma Aweso
๐ฉ๐ผ Naibu Waziri - Mh. Kundo Andrew Mathew
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
๐ Waziri - Mh. Raymond Simon Nyansao
Wizara ya Ujenzi
๐ Waziri - Abdallah Ulega
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Godfrey Msonge
Wizara ya Uchukuzi
๐ Waziri - Prof Makame Mbarawa
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. David Mwakiposa
Wizara ya Viwanda na Biashara
๐ Waziri - Mh. Judith Salvio Kapinga
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Patrobas Katambi
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
๐ Waziri - Mh. Angela Kairuki
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Sweetbert Zakaria Mkama
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
๐ Waziri - Dorothy Gwajima
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Marry Mahundi
Wizara ya Afya
๐ Waziri - Mohammed Gwajima
๐ฉ๐ผ Naibu - Dkt. Florance George Samizi
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
๐ Waziri - Prof. Adolf Mkenda
๐ฉ๐ผ Naibu - Wanu Hafidh Ameir
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
๐ Waziri - Dkt. Leonard Akwilapo
๐ฉ๐ผ Naibu - Kasper Kasper Muya
Wizara ya Mali Asili na Utalii
๐ Waziri - Mh. Ashatu Kijaji
๐ฉ๐ผ Naibu - Hamad Hassan Chade
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
๐ Waziri - Prof. Palamagamba Kabudi
๐ฉ๐ผ Naibu - Hamisi Mwinjuma
๐ฉ๐ผ Naibu - Paul Makonda
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
๐ Waziri - Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Ngwasi Damas Kamani
Wizara ya Madini
๐ Waziri - Anthony Peter Mavunde
๐ฉ๐ผ Naibu - Mh. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa
Wizara ya Nishati
๐ Waziri - Mh. Deogratius Ndejembi
๐ฉ๐ผ Naibu - Salome Makamba
Wizara ya Katiba na Sheria
๐ Waziri - Mh. Juma Homera
๐ฉ๐ผ Naibu - Zainab Athuman Katimba

Comments