Baada ya kumaliza kunadi ilani yetu ya uchaguzi ya CCM (2025/30) nchi nzima, Sasa kazi ni moja tuu kupita katika kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero na changamoto za wananchi pamoja na kuzitatua kwa maslahi mapana ya matakwa na matarajio yao kama ambavyo wao walikiamini Chama Cha Mapinduzi na kukipa dhamana ya kuendelea kuongoza Serikali.
Ndinga imeshajazwa mafuta na ipo tayari kuzunguka huku ikiwa imempakia Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu. 𝗞𝗲𝗻𝗮𝗻𝗶 𝗞𝗶𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼𝘀𝗶 kuhakikisha anawafikia wananchi wote nchi nzima.
Huu ni mwanzo wa ziara yake ambayo imebeba 𝗺𝗮𝗼𝗻𝗼 na 𝗱𝗵𝗮𝗺𝗶𝗿𝗮 ya kweli ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 ya kutaka kuona Tanzania inazidi kupata maendeleo endelevu na kuinua 𝗨𝗧𝗨 wa kila mwananchi.
𝙈𝙬𝙚𝙣𝙚𝙯𝙞 𝙆𝙚𝙣𝙖𝙣𝙞 𝙩𝙬𝙚𝙣𝙙𝙚 𝙠𝙖𝙯𝙞, 𝙃𝙖𝙠𝙪𝙣𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙤𝙖 𝙬𝙖𝙡𝙖 𝙠𝙪𝙗𝙤𝙖 𝙠𝙬𝙖𝙠𝙪𝙬𝙖 𝘾𝘾𝙈 𝙞𝙥𝙤 𝙠𝙬𝙖 𝙢𝙖𝙣𝙪𝙛𝙖𝙖 𝙮𝙖 𝙏𝙖𝙞𝙛𝙖 𝙯𝙞𝙢𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙪𝙟𝙪𝙢𝙡𝙖💚💛✅
RAITIBA YA ZIARA HII HAPA

Comments