L🇷🇺 Majibu ya mtaalamu wa masuala ya kijeshi kutoka Urusi 🇷🇺 ANDRÉ MARTYANOV kuhusu vita 🎙
🛑 Kwa nini Marekani 🇺🇲 inaonekana kama kila mara inataka kuanzisha vita vya dunia? 👇🏿⁉️
👉🏿 Jibu la André Martyanov:
🗣 “Marekani 🇺🇲 haijui maana halisi ya vita. Hakuna mtu yeyote nchini Marekani ambaye amewahi kupigana ili kuokoa familia yake wakati wa Vita Kuu, na hakuna askari wa Kimarekani aliyewahi kuona nyumba yake ikiteketea au watoto wake kuuawa kwa risasi na adui.
Vita wanavyojua ni vile wanavyovipeleka kwa wengine, mbali na nchi yao.” 🤦♂️
🌻 Anaongeza akisema:
🗣 “Tofauti kati ya Marekani na nchi kama Urusi 🇷🇺 au China 🇨🇳 ni kumbukumbu ya damu iliyomwagika.
China ilipoteza mamilioni ya watu wakati wa vita dhidi ya Japan 🇯🇵, na Urusi pia ililipa gharama kubwa sana katika mapambano dhidi ya Wanazi. 😭
Hizi ndizo nchi zinazojua gharama ya vita halisi, na bado zina majeraha yake.”
Lakini, kwa mujibu wake, Washington imejaa watu wanaotafuta maslahi yao binafsi tu, pamoja na watu wasio na hekima, wanaoishi katika fikra za sinema za Hollywood: wanasiasa na wapangaji wa vita waliosoma siasa, lakini si vita vya kweli. 🙄
🌻 Anaendelea kusema:
🗣 “Hawa ni wanaume na wanawake wanaoamini hawawezi kushindwa, wanaamini teknolojia ya Marekani ni bora kuliko ya mtu yeyote, ilhali wakati huohuo Marekani tayari imeshindwa katika mashindano ya silaha.” 🤦♂️
🔚 Mwisho:
Martyanov anasisitiza akisema:
🗣 “Ikiwa Marekani itajaribu kuanzisha vita kubwa kweli, siwadanganyi—itaangamia, itageuka kuwa maegesho ya magari (parking).
Na ninawaambia wazi kuwa wakubwa wa Washington watakufa pamoja na familia zao, na kila walichokuwa nacho kitatoweka.” 🤦♂️😭

Comments