Mbunge wa Viti Maalumu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tganzania (UWT), Mary Chatanda amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa karama kubwa ya uongozi aliyonayo kwa kutekeleza miradi lukuki ya maendeleo nchini kwa kipindi kifupi cha uongozi wake wa miaka minne.
Ametoa pongezi hizo alipokuwa akichangia hoja kuhusu hotuba aliyoitoa Rais alipokuwa akifungua Bunge Novemba 14, 2025 jijini Dodoma.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...
Comments