Rais wa Senegal 🇸🇳, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza zawadi kubwa kwa timu ya Taifa ya Senegal (Teranga Lions) pamoja na ujumbe wa taifa kufuatia ushindi wao wa AFCON.
Kila mchezaji wa Teranga Lions:
Faranga milioni 75 za CFA
Kiwanja cha ardhi chenye ukubwa wa mita za mraba 1,500
Wajumbe wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Senegal:
Faranga milioni 50 za CFA kila mmoja
Kiwanja cha ardhi chenye ukubwa wa mita za mraba 1,000 kila mmoja
Wajumbe wengine wa ujumbe wa taifa:
Faranga milioni 20 za CFA kila mmoja
Kiwanja cha ardhi chenye ukubwa wa mita za mraba 500 kila mmoja.

Comments