MBEYA YAWEKWA KITOVU CHA BIASHARA SADC: TISEZA YAONGEZA KASI YA UWEKEZAJI WA NDANI


Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority (TISEZA) imewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuendeleza Kampeni ya Kitaifa ya Uhamasishaji Uwekezaji wa Ndani hatua inayolenga kuwasha ari mpya ya Watanzania kuchangamkia fursa za kiuchumi.
Ziara hiyo ni awamu ya pili kwa Nyanda za Juu Kusini baada ya kukamilika kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa, huku mamlaka hiyo ikitembelea miradi inayomilikiwa na wazawa ili kuhamasisha uwekezaji, kutoa elimu kuhusu vivutio vya kikodi na visivyo vya kikodi, na kusisitiza kipaumbele kinachotolewa kwa wawekezaji wa ndani.
Akizungumza wakati wa mapokezi, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Beno Malisa amesema Mbeya ni lango muhimu la biashara kwa nchi za Southern African Development Community (SADC), akibainisha kuwa mkakati sahihi unaweza kuwafanya wafanyabiashara wengi kuchagua kuwekeza Mbeya badala ya kuelekea Kariakoo.

#WekezaMbeya #FursaZaNdani #BiasharaBilaMipaka







 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

ASANTE GWIJI YAYA TOURE KWA KUPASUA UKWELI UKWELI KUPENDELEWA KWA MOROCCO

CONFIRMED HAWA NDIO WACHEZAJI WETU 12 WA KIGENI 🦾

KILA MWANAMKE ANAPASWA KUFAHAMU HII...

RAIS WA SENEGAL AWAPATIA ZAWADI NONO WACHEZAJI WALIOFANIKISHA UBINGWA WA AFCON 2025

NYOMI YA WASENEGALI WAKISHANGILIA UBINGWA WA AFCON 2025

TANZANIA YAPANDA VIWANGO VYA FIFA

MAMBO MADOGO YANAYOVUTIA KWA MPENZI WAKO

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda