RAIS SAMIA AZIDI 'KUMWAGA' WAKUFUNZI VETA



 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore akizungumza na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mji Serikali Mtumba jijini Dodoma Februari16, 2026, kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa siku 100 wa ahadi zilizotolewa na Rais Samia alipoapishwa Novemba 3, 2025.

Moja ya mafanikio hayo ni kuiwezesha VETA kuwa na wakufunzi 4000 ifikapo mwaka 2028.

Ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuipatia vifaa lukuki ya mafunzo pamoja na kuijali Mamlaka hiyo kwa kuipatia wakufunzi hao.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore

Wanahabari wakiwa katika mkutano huo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

ASANTE GWIJI YAYA TOURE KWA KUPASUA UKWELI UKWELI KUPENDELEWA KWA MOROCCO

Wasifu wa Kizza Besigye

CONFIRMED HAWA NDIO WACHEZAJI WETU 12 WA KIGENI 🦾

KILA MWANAMKE ANAPASWA KUFAHAMU HII...

RAIS WA SENEGAL AWAPATIA ZAWADI NONO WACHEZAJI WALIOFANIKISHA UBINGWA WA AFCON 2025

NYOMI YA WASENEGALI WAKISHANGILIA UBINGWA WA AFCON 2025

TANZANIA YAPANDA VIWANGO VYA FIFA

CCM YAMJIBU BUTIKU CHADEMA KUFUNGIWA

MAMBO MADOGO YANAYOVUTIA KWA MPENZI WAKO